Mikataba ya wachumba kabla ya Ndoa (Prenups) – Tanzania

Mikataba ya wachumba kabla ya ndoa (Prenups) ni mikataba ambayo wanandoa watarajiwa huingia kuhusu mali walizochuma kabla ya kufungua ndoa husika. Aina hii ya mikataba lengo lake kuu huwa ni kuhakikisha mali ambazo wanandoa wamechuma kabla ya ndoa husika hazitokuwa mali za pamoja za wanandoa hao endapo ndoa hiyo itavunjika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Title
.