Jinsi ya Kumiliki Eneo Ndani ya Jengo Tanzania (Unit Titles/Condominium)

Kipindi cha leo ni muendelezo wa mada ya kujua jinsi ya kumiliki ardhi Tanzania. Leo tupo na Wakili msomi Victor Mwakimi, na mazungumzo ya leo ni kujua hasa jinsi mtu anaweza akamiliki eneo ndani ya jengo. Pia kuzungumzia kuhusu haki azipatazo mtu anayenunua eneo ndani ya jengo au eneo na zile anazopata mtu aliyenunua kiwanja au nyumba na kama kuna utaofauti wowote kati ya wamiliki hawa.

Kujua zaidi kuhusu wawasilishaji:

Victor Mwakimi: tz.linkedin.com/in/victor-mwakimi-5a5188125

www.lysonlaw.co.tz/member/vmwakimi@lysonlaw.co.tz

Privaty Rugambwa: www.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a/

www.irglobal.com/advisor/privaty-patiensi-rugambwa/

Emmanuel Bakilana: tz.linkedin.com/in/emmanuel-g-bakilana-846405123

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Title
.