Haki za wanyama wafugwao majumbani Tanzania

Siku hizi imekuwa ni kitu cha kawaida kuona nyumba au watu wakifuga wanyama mbalimbali kama mbwa au paka kama wanyama rafiki, kwa ajili ya majumbani kwa ulinzi au tu kama marafiki. Pia imekuwa ni kama desturi kuona vijana wakiwa wanauza wanyama hawa barabarani au sehemu mbalimbali kwenye miji mbalimbali Tanzania. Kumekuwa na maswali mengi sana kutoka kwa wadau na kwenye mitandao juu ya haki za wanyama wafugwao majumbani na wajibu ya watunza wanyama hawa. 

Katika kipindi cha leo, watoa mada wetu wa leo ni Mawakili Wasomi Ndugu Privaty Rugambwa, na Emmanuel Bakilana wamefanya tafiti juu ya haki za wanyama hawa wafugwao majumbani na katika kipindi cha leo tutapata kujua haki za wanyama hawa na wapi kama jamii tunafanya makosa.

Kujua zaidi kuhusu wawasilishaji:

Deodatus Tesha

https://tz.linkedin.com/in/deo-tesha-32545776

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Title
.